Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuendelea na kampeni zake Leo Septemba 28, 2025, kwa kuhutubia wananchi katika mkutano mkubwa Uwanja wa Sabasaba mjini Kibaha, kabla ya kuelekea Chalinze Msata ambako anasubiriwa kwa shauku na wana CCM wa maeneo hayo na wananchi kwa ujumla
DKT. SAMIA KUUGURUMA MKOA WA PWANI LEO
By fullshangwe
September 28, 2025 | 3:30 am

Related Stories
View all
Siasa
6 hours ago
RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI WA VENEZUELA, UGIRIKI NA MAREKANI
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Moravia Peralta Hernández Balozi Mteule…
Siasa
1 day ago
RAIS DKT. MWINYI: TANZANIA NA ARMENIA KUSHIRIKIANA KATIKA TEKNOLOJIA, ELIMU NA UTALII
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amependekeza Tanzania na Armenia kushirikiana kuanzisha kituo cha mafunzo ya…