Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Moravia Peralta Hernández Balozi Mteule wa Jamhuri ya Venezuela nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.



Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. George Pschias, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Ugiriki mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa William Trachman, Balozi Mteule wa Marekani nchini Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Anna Merrifield, Balozi Mteule wa Finland nchini Tanzania, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.

