Ndoa yangu ilikuwa karibu kuvunjika vipande vipande. Mume wangu alianza kubadilika ghafla simu yake ilikuwa daima kimya, alirudi nyumbani usiku sana, na mara nyingi alikuwa na hasira zisizoelezeka. Nilijaribu kuzungumza naye kwa upole, lakini kila mara alinikwepa au akageuza mazungumzo kuwa lawama kwangu.
Ndani ya moyo wangu nilihisi kuna jambo baya linaendelea. Niliishi kwa hofu na huzuni kila siku, nikijiuliza kama ndoa yangu ilikuwa inaelekea mwisho……. SIMA ZAIDI