Mgombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Nakapanya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma Septemba 23, 2025 wakati aliposimama kwa mkutano wa njiani ili kuwaomba wananchi hao kumpigia kura ya ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.
RAIS DKT. SAMIA AWAOMBA KURA WANANCHI WA NAKAPANYA MKOANI RUVUMA
