PICHA za matukio mbalimbali za Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, kwenye Mkutano wake wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Halmashauri,Ludewa leo Jumatatu Septemba 22,2025 mkoani Njombe.
DKT. NCHINBI AUBGURUMA UWANJA WA HALMASHAURI LUDEWA
