Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika mkitano wa kampeni ambao unafanyika Kenya viwanja vya Kwa Dae wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma tayari kwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Septemba 21,2025.
RAIS DKT. SAMIA AWASILI MBINGA KUZUNGUNZA NA WANANCHI
