Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akifurahia Burudani ya Ngoma za asili alipowasili katika Uwanja wa Ndege Songea Mkoani Ruvuma tayari kwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Septemba 21,2025.

DKT. SAMIA AWASILI RUVUMA TAYARI KWA KAMPENI



