Wasanii wa Kikundi cha Wapendanao cha CCM Mkoa wa Magharibi Zanzibar wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar, tarehe 20 Septemba 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Wilaya ya Chake Chake pamoja na vitongoji vya jirani wakati wa mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar, tarehe 20 Septemba, 2025.