Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar Ndugu Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiomba dua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe 19 Septemba, 2025.
DKT. SAMIA NA DKT. HUSSEIN MWINYI WAFANYA DUA KWENYE KABURI LA HAYATI ABEID AMANI KARUME
