Baadhi ya Wenyeviti wa Bodi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.







Msajili wa Hazina Zanzibar Waheed Muhammad Ibrahim Sanya (kulia)akitiliana Saini na Mwenyekiti wa Bodi ya ZBC Dkt,Idrissa Muslim Hijja katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.
Mkuu wa Idara ya Mitaji ya Umma na Uwekezaji Ofisi ya Msajili wa Hazina Ramia Mohamed Ramia akiwasilisha Ripoti ya tathmini ya Kiutendaji ya Mashirika ya Umma katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.

