Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Nanenane Ipuli Mjini Tabora leo Oktoba 12, 2025 ili kuzungumza na wananchi na kuwaomba kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,2025 nchini kote.
NA JOHN BUKUKU – TABORA
Matukio mbalimbali ya picha ya kuonesha shamrashamra za wananchi katika mkutano huo unaofanyika kwenye uwanja wa Nanenane Ipuli mjini Tabora.