Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Igunga na kuwaomba kura za ndiyo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote akianza rasmi kampeni zake mkoani Tabora leo Septemba 10, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Igunga mkoani Tabora, tarehe 10 Septemba, 2025.