Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Iramba mkoani Singida wakati alipomaliza ziara yake ya Kampeni katika Mkoa huo na kuanza rasmi mkoa wa Tabora katika wilaya ya Igunga ikiwa ni mwendelezo wa kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Iramba mkoani Singida tarehe 10 Septemba, 2025.