Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM wa Ubarikiwe wilayani Mbarali mkoani Mbeya katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 05 Septemba 2025.
DKT. SAMIA AOMBA KURA NA KUMTAMBULISHA MGOMBEA UBUNGE MBARALI
