Katibu Mkuu wa Chama cha Mapimduzi CCM Dkt. Asharose Migiro na Profesa Palamagamba Kabudi wakiserebuka na wanasanii na waigizaji wa filamu katika shamrashamra za kumkaribisha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan utakaofanyika kwenye uwanja wa Tandale mjini Tukuyu ambapo Dkt. Samia anatarajiwa kuwahutubia na kuwaomba kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 29, 2025 katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika nchi nzima.
DKT. MIGIRO, PROFESA KABUDI WASEREBUKA NA WASANII, WAIGIZAJI WA FILAMU RUNGWE
