RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais ) Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Karume na Viongozi na Wananchi mbalimbali wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh Fadhil Soraga baada ya kumalizika kwa maziko ya Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Marehemu Jaji Mkusa Sepetu, yaliofanyika Kijiji kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Karume na Wauminiu wa Dini ya Kiislam, wakiitikia dua baada ya kumaliza kuusalia mwili wa Marehemi aliyekuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar. Mkusa Sepetu, iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mbuzini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kisomo cha hitma kumuombea Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe. Mkusa Sepetu kabla ya kuusalia mwili wa marehemu katika Msikiti wa Ijumaa Mbuzini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said.(Picha na Ikulu)