Home Mchanganyiko JAJI MKUU WA ETHIOPIA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU TATU

JAJI MKUU WA ETHIOPIA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU TATU

0

Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu  (kulia) akisalimiana leo na  Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania,  Mhe. Yonas Sanbe  mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Jaji Ethiopia, Mhe.  Meaza Mengistu  (kulia) akipokelewa  leo na Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni  ya Biashara ,  Mhe. Mkuu wa Patricia  Fikirini  mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam  kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu wa  maboresho mbalimbali yaliyofanywa na Mahakama ya Tanzania.Jaji Mkuu wa Ethiopia amewasili nchini kwa ziara ya siku tatu.

Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu (kulia) akisalimiana   leo na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania , Mhe. Sharmillah Sarwatt.  mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa Ethiopia,  Mhe.Meaza Mengistu   (kulia) akizungumza jambo  leo na Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni  ya Biashara , Mhe. Patricia  Fikirini  mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe Meaza Mengistu  (kulia) akizungumza jambo leo na  Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania,  Mhe. Yonas Sanbe  mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

 

(Picha na  Magreth Kinabo-Mahakama)