RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe.Toufiq Salim Turky, alipowasili nyumbani kwa marehemu Salim Turky Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja,kwa ajili ya kuhudhuria kisomo cha Hitma na Dua (hauli) ya kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, kisomo hicho kilichofanyika leo 20-7-2025.(Picha na Ikulu)
WANANCHI na Masheikh mbalimbali wakishiriki katika kisomo cha Hitma na Dua (hauli) kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, kisomo hicho kilichofanyika nyumbani kwa marehemu Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja leo 20-7-2025.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya WANANCHI na Masheikh wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua (hauli) kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, kisomo hicho kilichofanyika nyumbani kwa Marehemu Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja leo 20-7-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa kisomo cha Hitma na Dua (hauli) kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, kisomo hicho cha hauli kilichofanyika nyumbani kwa marehemu Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja leo 20-7-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi katika kuitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma na dua (hauli) kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar ikisomwa na Sheikh Shaban Batash (hayupo pichani) iliyofanyika nyumbani kwa marehemu mpendae Wilaya ya Mjini Unguja leo 20-7-2025 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt. Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Mtoto wa Marehemu Salim Turky Mhe.Toufiq Salim Turky Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Mjane wa Marehemu Bi.Tamima Juma (kulia kwa Rais) na Watoto Wanaofadhiliwa na Taasisi ya Salim Turky Foundation Zanzibar, wakiitikia dua ikisomwa na mmoja wa Watoto hao, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua (Hauli) ya kumuombea Marehemu Salim Turky aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar,iliyofanyika nyumbani kwa marehemu Mpendae Wilaya ya Mjini Unguja leo.20-7-2025.(Picha na Ikulu)