Jina langu ni Mamy, nilikuwa ni shida ya kunenepa na kila mara, watu wengi walinipa majina ya ovyo sana kutokana na mwili wangu kunenepa sana, wengine waliniita nguruwe, wengine gunia na majina mengine yaliyonidhalilisha sana. Ama kwa hakika nilikuwa nimenenepa kupita kiasi, kutembea pia ilikuwa ni kazi ngumu kwangu kwani nilipotembea kwa muda mfupi nilijikuta….. SOMA ZAIDI