Mshambuliaji hatari wa timu ya soka wasichana ya Mkoa wa Kilimanjaro Siriel Jofrey “Messi” mwenye mpira akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya mkoa wa Morogoro katika mchezo baina ya timu hizo mbili hatua ya makundi uliochezwa leo asubuhi katika viwanja vya chuo cha ualimu Mtwara. Katika Mchezo huo timu ya mkoa wa Kilimanjaro iliibuka na ushindi mnono dhidi ya Morogoro
Patashika katika mchezo wa volleyball baina ya timu za wasichana kutoka mikoa ya Pwani na Mara. Anayepiga mpira ni Salome Thomas wa Mara
Mshindi w a kwanza, pili na wa tatu katika mchezo wa riadha wa kupokezana vijiti mita mia 400 wasichana mara baada ya kukamilika kwa mbio hizo.
*********************
Na Mathew Kwembe, Mtwara
Mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (UMISSETA imeendelea leo katika viwanja vya chuo cha ualimu Mtwara ambapo michezo mbalimbali imechezwa.
Jumla ya wanafunzi wa shule za sekondari wapatao 3304 kutoka mikoa 26 ya Tanzania Bara na miwili ya Zanzibar wanashiriki michezo hiyo
Kwa mujibu wa Mratibu wa Mashindano hayo bwana Leonard Thadeo michezo hiyo ipo katika hatua ya makundi ambapo yamegawanywa katika makundi manne
Katika michezo iliyochezwa jana kwa upande wa Netiboli
Geita 33 v/s Katavi 7
Shinyanga 21 v/s Songwe 16
Iringa 30 v/s Njombe 13
Mtwara 25 v/s Lindi 24
Pwani 03 v/s Kilimanjaro 26
Singida 13 v/s Mara 20
Mbeya 30 v/s Kagera 24
Mwanza 32 v/s Arusha 13
Dar 44 v/s Kigoma 14
Tanga 35 v/s Unguja 06
Morogoro 37 v/s Tabora 20
Matokeo ya mchezo wa kikapu wavulana hatua ya makundi
Shinyanga 38 v/s Mwanza 32
Mara 10 v/s Unguja 48
Simiyu 26 v/s Rukwa 23
Ruvuma 19 v/s Njombe 20
Pemba 08 v/s Pwani 38
Kigoma 47 v/s Lindi 13
Morogoro 46 v/s Tabora 35
Iringa 25 v/s Singida 14
Matokeo ya mchezo wa kikapu wasichana hatua ya makundi
Songwe 17 v/s Dodoma 21
Mtwara 24 v/s Lindi 12
Tanga 11 v/s Singida 12
Ruvuma 18 v/s Geita 25
Mwanza 34 v/s Iringa 07
Mara 05 v/s Arusha 16
Mtwara 17 v/s Kagera 10
Tabora 22 v/s Shinyanga 17
Matokeo ya mchezo wa soka wavulana hatua ya makundi
Mtwara 0 v/s Singida 2
Iringa 1 v/s Arusha 1
Shinyanga 0 v/s Tanga 2
Ruvuma 1 v/s Mwanza 1
Unguja 2 v/s Morogoro 1
Rukwa 0 v/s Dodoma 1
Kigoma 0 v/s Mbeya 2
Pemba 0 v/s Lindi 3
Tabora 0 v/s Dar es salaam 1
Songwe 2 v/s Kagera 2
Njombe 1 v/s Simiyu 1
Geita 0 v/s Kilimanjaro 4
Matokeo ya mchezo wa soka wasichana hatua ya makundi
Ruvuma 2 v/s Mara 1
Dar 2 v/s Geita 0
Shinyanga 0 v/s Iringa 2
Arusha 1 v/s Singida 2
Tabora 5 v/s Rukwa 1
Mwanza 8 v/s Mtwara 2
Njombe 0 v/s Mbeya 3
Morogoro 1 v/s Kagera 3
Manyara 1 v/s Katavi 2