Beatrice Hyera Afisa Mwandamizi Bodi ya Bima ya Amana akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi waliotenbelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maomesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi hiyo.
Wananchi mbalimbali wakiendelea kupata elimu kutoka kwa maofisa taasisi hiyo wakati waliotenbelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maomesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika kaktika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi hiyo.
Beatrice Hyera Afisa Mwandamizi Bodi ya Bima ya Amana akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi waliotenbelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maomesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi hiyo.
Afisa wa Bodi ya bima ya Amana Caren Max akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi waliotenbelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maomesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi Hi you.
Daudi Mwakalinga Afisa wa Bodi ya Bima ya Amanaa DIB akitoa maelezo kwa baadhi ya wananchi waliotenbelea katika banda la Bodi ya Bima ya Amana kwenye maomesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam ili kupata elimu kuhusu shughuli za bodi Hi you.