Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Ghati Chomete amerejesha Fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea ubunge Viti Maalum Mkoa wa mara.
Ghati ameingia kwenye kinyag’anyiro cha kutetea ubunge wake viti Maalum ambapo sasa watasubiri mchujo wa majina baada ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za kutia nia kukamilika Leo hii July 2 2025
Ghati amerejesha Fomu yake majira ya Satano Kamili Asubuhi katika Ofsi za CCM Mkoa wa Mara