Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mfumo wa e-Wekeza utakaomuwezesha Mtumishi wa Umma kuwekeza katika Mfuko wa Faida, alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Wiki ya Utumishi Umma kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Juni 23, 2025. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU AZINDUA MFUMO WA E-WEKEZA
By fullshangwe
June 23, 2025 | 3:33 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
26 minutes ago
WAKALA WA VIPIMO YAFUNGUA OFISI MKURANGA KUSOGEZA HUDUMA KWA WANANCHI
Na WMA – Mkuranga Oktoba 14, 2026 Wakala wa Vipimo (WMA) imefungua Ofisi wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa…
Mchanganyiko
3 hours ago
DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE, SUMBAWANGA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa…