Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania (Mamajusi Watatu) Jimbo Katoliki Sumbawanga, Rukwa

Katika Ibada hiyo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mstahili wa Jimbo Katoliki Sumbawanga Damiani Kyaruzi.