Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kumuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya. Tanzania Jaji George Mcheche Masaju akizungunza ikulu Chamwino Mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Juni 15 2025 jijini Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Jaji Mkuu mstaafu wa Mahakama ya. Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma akizungunza Ikulu Chamwino Mara baada ya kuapishwa Jaji Mkuu mpya Mhe. George Mcheche Masaju Juni 15 2025 jijini Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungunza katika hafla hiyo. iliyofanyika Ikulu Chamwino jinini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza Mara baaada ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu Wa Tanzania Mhe. Jaji George Mcheche Masaju Chamwino jijini Dodoma.