Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa, amekutana na Mfanyabiashara mashuhuri barani Afrika, Ndugu Said Salim Bakhresa, katika ofisi za Makampuni ya Bakhresa, jijini Dar es Salaam Leo, Juni 4, 2025
Ziara hiyo ni sehemu ya jitihada za Tume ya Taifa ya Mipango kuwasiliana kwa karibu na wadau wakuu wa maendeleo ili kuhakikisha mipango ya taifa inaendana na mahitaji halisi ya sekta mbalimbali.
#SektaBinafsi
#UjasiriamaliTanzania
#MaendeleoEndelevu