Mwanamke mmoja amejikeza kwenye mitandao ya kijamii kueleza jinsi alivyovunjika moyo baada ya kumsaidia mpenzi wake katika maandalizi ya kumlipia mahari lakini siku ya tukio lenyewe hakutokea. Akitambuliwa kama Mamiena, mwanamke huyo alifichua jinsi alivyompatia kiasi cha Sh10 milioni ili kumsaidia mwanaume wake kulipa mahari hiyo kwa familia yake. “Ebu fikiria tayari tulikuwa tumepika, tumetayarisha […]……… SOMA ZAIDI
MWANAMKE ALIYETAKA KUJILIPIA MAHARI ATAPELIWA MILIONI 10
By fullshangwe
May 23, 2025 | 5:03 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
12 minutes ago
BANDARI YA TANGA YAVUKA LENGO LA SHEHENA, YAPUNGUZA MUDA WA MELI KUSUBIRI
Na Oscar Assenga, Tanga BANDARI ya Tanga imevuka lengo la kuhudumia shehena kwa mwaka wa fedha 2025/2026 baada ya kuhudumia tani milioni 2.179 dhidi…
Mchanganyiko
29 minutes ago
KANSELA WA BIASHARA KUTOKA UBALOZI WA CHINA ATEMBELEA JKCI OYSTERBAY
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Smita Bhalia akimuonesha moja ya mfumo unaotumiwa na Taasisi hiyo kutafsiri…