Mkurugenzi Mtendaji kutoka TECDEN (Tanzania Early Childhood Development Network) Bw. Bruno Ghumpi akifafanua jambo wakati wa kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango Kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto kilichofanyika Februari 6, 2020 katika Ukumbi wa mikutano wa Flomi hotel Morogoro.
Mratibu wa MTAKUWWA kutoka Wizara ya Elimu, Bi. Sylvia Chinguwile akifafanua jambo wakati wa kikao kazi hicho.
Mratibu wa Taifa wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) Bi. Happiness Mugyabuso (katikati) pamoja na Katibu wa kikao hicho Bw. Mwendesha Makelemo na Mratibu wa Mpango huo kutoka TAMISEMI Bi. Mwajina Lipinga (wa kwanza kushoto) wakifuatilia hoja za kikao hicho.
Afisa Maendeleo kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Emmanuel Burton akiwasilisha mada kuhusu mila na desturi zinazowagandamiza watoto na wanawake wakati kikao hicho.
Wajumbe wa kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango wa Kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wakifuatilia hoja wakati wa kikao hicho.
Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Bi. Rennie Gondwe akiwasilisha mada wakati wa kikao hicho.
Mratibu wa Mpango wa Kutokomea Kukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) kutoka TAMISEMI Bi. Mwajina Lipinga akifafanua hoja wakati wa kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa Mpango huo.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)