Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 12 Mei 2025, akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwaajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu hayati. Cleopa David Msuya yatakayofanyika tarehe 13 Mei 2025 Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MSUYA
