Ndege iliyobeba mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (Mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya, ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) majira ya saa 2:22 leo Mei 12, 2025.

NDEGE ILIYOBEBA MWILI WA HAYATI CLEOPA DAVID MSUYA YAWASILI KIA
