RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC Connect App) Mwinyi Housing Scheme Kisakasaka, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar 10-5-2025.(Picha na Ikulu)
WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Mfumo wa Shirika la Nyumba Zanzibar “ZHC Connect App, Mwinyi Housing Scheme Kisakasaka “ wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuuzindua mfumo huo, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar 10-5-2025.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI wa Shirika la yumba Zanzibar wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Mfumo wa Shirika la Nyumba Zanzibar “ZHC Connect App, Mwinyi Housing Scheme Kisakasaka “ wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuuzindua mfumo huo, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar 10-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na Kuzinduzi wa Mfumo wa Shirika la Nyumba Zanzibar ZHC Connect App “Mwinyi Housing Scheme Kisakasaka“ hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar 10-5-2025.(Picha na Ikulu)