Mwili wa Hayati Mhe. Cleopa David Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu ukiwasili nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam ambapo unapokelewa na familia, ukitokea Hospitali ya Jeshi, Lugalo, leo Mei 10, 2025.
MWILI WA HAYATI CLEOPA DAVID MSUYA ULIPOWASILI NYUMBANI KWAKE UPANGA
