Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa alipowasili kwenye ukumbi wa Jiji uliopo kwenye Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma kufungua  Mkutano wa 15 wa  Taasisi ya Maboresho   katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa (TOA),  Aprili 14, 2025. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi  wa Umma na Utawala Bora, George Simbachwene na kulia ni Mwenyekiti wa TOA Taifa, Albert Mtovelwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa  (kushoto) alipotembelea mabanda ya maonesho kabla ya kufungua  Mkutano wa 15 wa  Taasisi ya Maboresho   katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA), Aprili 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza maelezo kutoka  kwa Vicky Bishubo  ambaye ni Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki kwa serikali wa Benki ya NMB wakati alipotembelea banda la maoneho la Benki  hiyo kabla ya kufungua Mkutano wa 15 wa  Taasisi ya Maboresho   katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA), Aprili 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa alipoingia kwenye ukumbi wa Jiji uliopo kwenye Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma kufungua Mkutano wa 15 wa  Taasisi ya Maboresho ya  katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA), Aprili 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua  Mkutano wa 15 wa  Taasisi ya Maboresho   katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA),  kwenye ukumbi wa  Jiji uliopo kwenye  Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma, Aprili 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)