Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku jijini Addis Ababa April 11, 2025. Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo zilisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiono wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Ethiopia ambao uliimarika tokea kipindi cha uanzishwaji wa Umoja wa Afrika.
DKT. JAKAYA KIKWETE AWASILISHA UJUMBE MAALUM KWA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA
