Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi na ukarabati wa viwanja vya Amani, Maisara na Mao Zedong Zanzibar, Aprili 7, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Tabia Maulid Mwita    alipokagua  ujenzi na ukarabati wa viwanja vya Amani, Maisara na Mao Zedong Zanzibar, Aprili 7, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka  kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Tabia Maulid Mwita alipokagua   ujenzi na ukarabati wa viwanja vya Amani, Maisara na Mao Zedong Zanzibar, Aprili 7, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akikagua sakafu ya uwanja wa Ndani wa Amani wakati alipokagua ujenzi na ukarabati wa viwanja vya Amani, Maisara na Mao Zedong Zanzibar, Aprili 7, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Muonekano wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Amani Zanzibar ambao Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ukarabati wake, Aprili 7, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Mao Zedong ambao Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ukarabati wake, Aprili 7, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



                                
                             