Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, leo Machi 15, 2025 alipotembelea Shule ya Msingi Hiloli iliyopo wilayani Mbozi mkoani Songwe na kupata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi wa darasa la saba wa shule hiyo wanaojiandaa na mtihani wa taifa mwaka huu.


Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, leo Machi 15, 2025, akishiriki ujenzi wa Shule ya Sekondari Ukwile alipoitembelea akiwa katika ziara mkoani Songwe.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Tunduma akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya CCM mkoani Songwe.(PICHA NA Fahadi Siraji)

Wananchi Wakishangilia katika Mkutano wa Hadhara