RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa Mashindano ya 24 ya Kitaifa ya kuhifadhi Quran, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Aisha Sururu Foundation katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 9-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Juzuu 30 Wanawake, katika Mashindano ya 24 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Quran Mwanafunzi Sabrina Masoud Ally (19 ) kutoka Pemba, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 9-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Taasisi ya Aisha Sururu Foundation Ust. Twalib Othman Twalib na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Amana Aboubakar Athumani Ally.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Juzuu 30 Wanawake, katika Mashindano ya 24 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Quran Mwanafunzi Sumaiya Shuwaiba Othman (14 ) kutoka Dar es Salaam, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 9-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Taasisi ya Aisha Sururu Foundation Ust. Twalib Othman Twalib na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Amana Aboubakar Athumani Ally.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili juzuu 30 Wanaume, katika Mashindano ya 24 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Quran Mwanafunzi Ishaka Mohammed Haji (25) kutoka Kinunu Unguja, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 9-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Taasisi ya Aisha Sururu Foundation Ust. Twalib Othman Twalib na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Amana Aboubakar Athumani Ally.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Juzuu 30 Wanaume,katika Mashindano ya 24 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Quran Mwanafunzi Ismail Yussuf Hamad, (20) kutoka Dar es Salaam, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 9-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Taasisi ya Aisha Sururu Foundation Ust. Twalib Othman Twalib na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Amana Aboubakar Athumani Ally.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Aisha Sururu Foundation Hajjat Aisha Sururu, baada ya kumalizika kwa Mashindano ya 24 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 9-3-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Alhajj Dkt. Aboubakar Zubeiry Ally (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Mashindano ya 24 ya Kitaifa ya Kuhifadhi Quran yalioandaliwa na Taasisi ya Aisha Sururu Foundation, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 9-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Taasisi ya Aisha Sururu.(Picha na Ikulu)