Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) wameshiriki sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa Machi 8, 2025 jijini Arusha.