Waziri Mkuu Kaassim Majaliwa akimpa pole Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa aliyefiwa na Baba yake yake mzazi, Omari Rashid Mchengerwa, nyumbani kwa Waziri huyo Masaki jijini Dar es salaam February 24, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji alipokwenda nyumbani kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, Masaki jijini Dar es salaam kutoa pole ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri huyo, marehemu Rashid Mchengerwa, February 24, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Omari Rashid Mchengerwa, Baba mzazi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohammed Mchengerwa, nyumbani kwa Waziri huyo Masaki jijini Dar es salaam, Februari 24,2025. (Pi ha na Ofisi ya Waziri Mkuu)