Upanuzi wa Barabara ya Morocco – Mwenge ukiendelea kwa kasi katika eneo la Sayansi na Bamaga pamoja na
Barabara ya Shekilango-Bamaga inayojengwa pia kwa njia nne kama inavyoonekana pichani.
Sehemu ya Barabara ya Morocco-Mwenge katika eneo la
Fao kabla ya ujenzi wa njia hizo nne mpya.
Sehemu ya Mitaa ya Mwananyamala Bwawani ambayo
barabara zake zimejengwa kwa Zege na kuondoa kero ya miaka mingi ya barabara hizo za mitaa. PICHA NA IKULU