Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI Mhe. Justin Nyamoga akizungumza na wananchi wa Rufiji (hawapo pichani) akiwa katika bwalo la shule ya sekondari ya wasichana ya Bibi Titi Mohamed wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya afya, elimu, soko, jengo la utawala na miundominu ya barabara za TARURA inayotekelezwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI wilayani humo.
Wananchi wa Rufiji wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI Mhe. Justin Nyamoga (hayupo pichani) katika bwalo la shule ya sekondari ya wasichana ya Bibi Titi Mohamed wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya afya, elimu, soko, jengo la utawala na miundominu ya barabara za TARURA inayotekelezwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI wilayani humo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI Mhe. Justin Nyamoga na viongozi wengine wakiwasili katika eneo ambalo jengo la utawala la Halmshauri ya mji wa Rufiji linajengwa, wakati wa ziara ya kikazi ya kamati yake wilayani humo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya afya, elimu, soko, jengo la utawala na miundominu ya barabara za TARURA inayotekelezwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI.
Mbunge wa Jimbo la Rufiji, ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na wananchi nje ya hospitali ya wilaya ya Rufiji, wakati wa ziara ya kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya afya, elimu, soko, jengo la utawala na miundominu ya barabara za TARURA ambayo inatekelezwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI wilayani Rufiji.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba, akieleza uwekezaji uliofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya afya msingi, wakati wa ziara ya kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya afya, elimu, soko, jengo la utawala na miundominu ya barabara za TARURA ambayo inatekelezwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI wilayani Rufiji.
Mbunge wa Jimbo la Rufiji, ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na wananchi katika bwalo la shule ya sekondari ya Bibi Titi Mohamed, wakati wa ziara ya kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya afya, elimu, soko, jengo la utawala na miundominu ya barabara za TARURA ambayo inatekelezwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI wilayani Rufiji.
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba, akisisitiza jambo, wakati wa ziara ya kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya afya, elimu, soko, jengo la utawala na miundominu ya barabara za TARURA ambayo inatekelezwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI wilayani Rufiji.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI Mhe. Justin Nyamoga akimpongeza Mhe. Mohamed Mchengerwa kwa utekelezaji mzuri wa miradi, wakati wa ziara ya kamati yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya afya, elimu, soko, jengo la utawala na miundominu ya barabara za TARURA ambayo inayotekelewa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI wilayani Rufiji.