WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-2-2025.(Pica na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 7-2-2025, katika Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 7-2-2025, katika Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Sheikh Hemed Rashid Hikmany .(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-2-2025.(Picha na Ikulu).