Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (Kushoto), akiagana na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Biashara Tanzania (CBE) pamoja na uzinduzi wa Dira ya Miaka 50 ijayo ya Chuo hicho, yaliyofanyika katika Kampasi ya Chuo hicho, Jijini Dar es Salaam. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF)