Jina langu ni Revo, ni baba wa watoto wawili, miaka kadhaa nyuma, katika harakati za kutafuta maisha nikajikuta nipo kwa mshkaji, yaani yale maisha ya ghetto na kadi alilipa yeye. Kiukweli hakuwa na roho mbaya na mimi.
Tuliishi kama ndugu ila baadaye akaniambia ni muda wa kila mtu kuanza kujitegemea na kupambana na majukumu yake mwenyewe, yaani kila mtu apange chumba chake na kujitegemea kimaisha.
Mara ya kwanza niliogopa nikidhani sitawaweza, kusema kweli niliwaza vingi sana maana vitu vingi tulikuwa tunasaidiana. Baada ya kuondoka maisha mapya yakaanza, nikiwa mwenyewe, nakumbuka kodi nilikuwa nalipa Sh40,000.
Maisha hayakuwa vile nilivyodhani, baada ya kuanza kujitegemea mwenyewe hata kasi ya kutafuta hela iliongezeka. Nikawa mtu wa mishe mishe na maisha yanaenda.
Baadaye nilioa kabisa nikaanza kukaa na mke wangu, unajua hata kuingia kwenye ndoa nilikuwa naogopa nikidhani majukumu yatanishinda, ila haikuwa hivyo, mambo yaliendelea kuninyookea.
Baada ya kukaa miaka minne kwenye ile nyumba tulianza kusumbuana na mwenye nyumba. Kuna vitu nilikuwa naomba anitengenezee na alikuwa hafanyi hivyo.
Ikumbukwe nilikuwa tayari na familia hivyo nilikuwa nataka mazingira ya nyumbani yawe mazuri kidogo. Mwisho wa siku tulishindwana na mwenye nyumba maana hakutengeneza vitu nilovyokuwa nataka.
Hapo nilikuwa nakaa chumba kimoja mimi na mke wangu pamoja na mtoto wetu mdogo. Mama watoto akanishauri safari hii tuchukue chumba na sebule ili tuishi hata kwa uhuru kidogo.
Nikawa nawaza nitaweza kulipa kweli?, nyumba ninayotaka kutoka nalipa Sh40,000. Je, hiyo Sh80,000 ya kodi ya nyumba nitaipata kwa mwezi?.
Baada ya michongo ya hapa na pale nikafanikiwa kupata kodi ya miezi mitatu ya Sh80,000. Nikamwambia mama watoto tunahama na kweli tukaondoka zetu salama kabisa.
Tangu nimehama mpaka sasa nalipa kodi Sh170,000 na naimudu vizuri tu bila shida yoyote. Hata kasi yangu ya kutafuta hela imeongezeka lakini siri ya mafanikio haya ni Dr Bokko, mganga wa jadi ambaye alinifanyia dawa hapo awali.
Dr Bokko ambaye anapatikana kupitia +255618536050, nilikutana naye wakati naondoka kwa yule rafiki yangu, kutokana na hofu ya kushindwa maisha, nilienda kwake na akanipa dawa ambayo imenisaidia sana kuondoa hofu na kuwa mpambanaji na kunipa bahati.