Waziri wa Ujenzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Abdalla Khamis Ulega akisalimiana na Viongazi mbalimbali wakati akiwasili katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege na Mji wa Nungwi Kaskazini Unguja 14.15km.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Ujenzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Abdalla Khamis Ulega akikunjuwa kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege na Mji wa Nungwi Kaskazini Unguja 14.15km.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Ujenzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Abdalla Khamis Ulega akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege na Mji wa Nungwi Kaskazini Unguja 14.15km.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk Habiba Hassan akitoa taarifa ya kitaalamu katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege na Mji wa Nungwi Kaskazini Unguja 14.15km.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.yenye kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi :Amani ,Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
(PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.07/01/2025)