Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Tamasha la Azimio la Kizimkazi lililofanyika Kilimahewa Majumbakumi, Ruangwa, Desemba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi jiko la gesi Fanzie Mtumba wakati alipogawa majiko 1000 katika Tamasha la Azimio la Kizimkazi lililofanyika Kilimahewa Majumbakumi, Ruangwa, Desemba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Kajaliwa akimkabidhi jiko la gesi Salma Naonje wakati alipogawa majiko 1000 katika Tamasha la Azimio la Kizimkazi lililofanyika Kilimahewa Majumbakumi, Ruangwa, Desemba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mwananchi walioshiriki katika Tamasha la Azimio la Kizimkazi lililofanyika Kilimahewa Majumbakumi, Ruangwa, Desemba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Tamasha la Azimio la Kizimkazi lililofanyika Kilimahewa Majumbakumi, Ruangwa wakimshangilia mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza, Desemba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)