Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Kondoa Mkoani Dodoma. Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha Maombolezo alipomwakisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Mazishi ya Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko yamefanyika Kondoa, mkoani Dodoma, Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Mwajuma Mafita ambaye ni Mama wa marehemu Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko, aliyekuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi hayo, Kondoa Mkoani Dodoma. Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Kondoa Mkoani Dodoma. Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi yaliyofanyika Kondoa, mkoani Dodoma, Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya Wa
ziri Mkuu)