Waziri Mkuu, na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Victor Masangu,Kibaha MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Dkt Mawazo Nicas ametoa muda wa siku saba kwa kiwanda cha kuchakata plastiki…