Mabondia Deontay Wilder (kulia) na Tyson Fury wakitambiana wakati wa mkutano wao wa kwanza na Wasandishi wa Habari mapema leo ukumbi wa Novo Theatre Jijini Los Angeles kuelekea pambano lao marudiano Februari 22 ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani baada ya kutoka droo kwenye pambano la kwanza miezi 13 iliyopita nchini humo PICHA ZAIDI SOMA HAPA
FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO
By Alex Sonna
January 15, 2020 | 6:09 am

Related Stories
View all
Michezo
4 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-0, YANGA SC NAYO YATAMBA 3-0 DHIDI YA AZAM FC
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, mzunguko…
Michezo
22 hours ago
JKT YAFUNGA MASHINDANO YA CNS CUP 2026, YASISITIZA NIDHAMU KUKUZA VIPAJI
Na.Sophia Kingimali. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limefunga rasmi Mashindano ya Kombe la CNS Cup 2026 katika Kambi ya JKT Mgulani jijini Dar es…
