Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania, Desemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wafamasia, Janeth Ngailo (kulia) na HeavenLight Kaggia wote kutoka kiwanda cha kutengeneza dawa cha Kairuki Pharmaceticals alipotembelea banda la maonesho la kiwanda hicho kabla ya Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania, Desemba 4, 2024. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa Bohari Kuu ya Dawa Tanzania (MSD) alipotembelea banda la maonesho la bohari hiyo kabla ya kufungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania, Desemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Meneja wa Alkem Laboratories Limted, Samir Joshi (wa tatu kulia) aliyetoa maelezo kuhusu kampuni hiyo wakati Waziri Mkuu alipotembelea banda la maonesho la kampuni hiyo kabla ya kufungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania, Desemba 4, 2024. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya,Dkt. Godwin Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
DSC 7992, DSC 8025 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania, Desemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati alipofungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania, Desemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)